Isaya 60:11 BHN

11 Malango yako yatakuwa wazi daima;usiku na mchana hayatafungwa,ili watu wakuletee utajiri wa mataifa,pamoja na wafalme wao katika maandamano.

Kusoma sura kamili Isaya 60

Mtazamo Isaya 60:11 katika mazingira