Isaya 60:10 BHN

10 Mwenyezi-Mungu asema:“Wageni watazijenga upya kuta zako,wafalme wao watakutumikia.Maana kwa hasira yangu nilikupiga,lakini kwa fadhili yangu nimekuhurumia.

Kusoma sura kamili Isaya 60

Mtazamo Isaya 60:10 katika mazingira