9 Ni meli zitokazo nchi za mbali,zikitanguliwa na meli za Tarshishi.Zinawaleta watoto wako,pamoja na fedha na dhahabu yao,kwa sifa ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako,kwa sifa ya Mungu, Mtukufu wa Israeli,maana amewafanya mtukuke.
Kusoma sura kamili Isaya 60
Mtazamo Isaya 60:9 katika mazingira