Isaya 60:13 BHN

13 “Utaletewa fahari ya msitu wa Lebanoni:Mbao za miberoshi, mivinje na misonobari,zitumike kupamba mahali pa maskani yangu;nami nitaparembesha hapo ninapokaa.

Kusoma sura kamili Isaya 60

Mtazamo Isaya 60:13 katika mazingira