14 Wazawa wa wale waliokudhulumu,watakuja na kukuinamia kwa heshima.Wote wale waliokudharau,watasujudu mbele ya miguu yako.Watakuita: ‘Mji wa Mwenyezi-Mungu’,‘Siyoni, Mji wa Mtakatifu wa Israeli’.
Kusoma sura kamili Isaya 60
Mtazamo Isaya 60:14 katika mazingira