15 “Wewe ulikuwa umeachwa na kuchukiwa,hakuna aliyependa hata kupitia kwako.Lakini sasa nitakufanya uwe na fahari milele,utakuwa mji wa furaha kizazi hata kizazi.
Kusoma sura kamili Isaya 60
Mtazamo Isaya 60:15 katika mazingira