Isaya 60:16 BHN

16 Utaletewa chakula na watu wa mataifa,naam, wafalme watakupatia chakula bora.Hapo utatambua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ni Mwokozi wako;mimi Mwenye Nguvu wa Yakobo ni Mkombozi wako.

Kusoma sura kamili Isaya 60

Mtazamo Isaya 60:16 katika mazingira