18 Ukatili hautasikika tena nchini mwako;wala uharibifu na maangamizi ndani ya mipaka yako.Utaweza kuziita kuta zako: ‘Wokovu’,na malango yako: ‘Sifa’.
Kusoma sura kamili Isaya 60
Mtazamo Isaya 60:18 katika mazingira