19 “Hutahitaji tena jua kukuangazia mchana,wala mwezi kukumulikia usiku;maana mimi Mwenyezi-Mungu ni mwanga wako milele;mimi Mungu wako nitakuwa fahari yako.
Kusoma sura kamili Isaya 60
Mtazamo Isaya 60:19 katika mazingira