20 Mwanga wako mchana hautatua kama jua,wala mwangaza wako usiku kufifia kama mbalamwezi;maana Mwenyezi-Mungu ni mwanga wako milele,nazo siku zako za kuomboleza zitakoma.
Kusoma sura kamili Isaya 60
Mtazamo Isaya 60:20 katika mazingira