Isaya 60:21 BHN

21 Watu wako wote watakuwa waadilifu,nao wataimiliki nchi milele.Hao ni chipukizi nililopanda mimi,kazi ya mikono yangu kwa ajili ya utukufu wangu.

Kusoma sura kamili Isaya 60

Mtazamo Isaya 60:21 katika mazingira