22 Aliye mdogo kati yenu atakuwa ukoo,aliye mdogo kuliko wote atakuwa taifa kubwa.Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu;wakati ufikapo nitayatekeleza hayo haraka.”
Kusoma sura kamili Isaya 60
Mtazamo Isaya 60:22 katika mazingira