Isaya 60:6 BHN

6 Makundi ya ngamia yataifunika nchi yako,naam, ndama wa ngamia kutoka Midiani na Efa;wote kutoka Sheba watakuja.Watakuletea dhahabu na ubani,wakitangaza sifa za Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Isaya 60

Mtazamo Isaya 60:6 katika mazingira