7 Makundi ya kondoo wa Kedari yatakusanywa kwako,utaweza kuwatumia kondoo madume wa Nebayothi kuwa kafara;utawatoa kuwa tambiko inayokubalika madhabahuni pa Mungu,naye ataitukuza nyumba yake tukufu.
Kusoma sura kamili Isaya 60
Mtazamo Isaya 60:7 katika mazingira