Isaya 61:6 BHN

6 Nanyi mtaitwa: “Makuhani wa Mwenyezi-Mungu”,Mtaitwa: “Watumishi wake Mungu wetu”.Mtafaidika kwa utajiri wa mataifa,mtatukuka kwa mali zao.

Kusoma sura kamili Isaya 61

Mtazamo Isaya 61:6 katika mazingira