Isaya 62:1 BHN

1 Kwa ajili ya Siyoni sitakaa kimya,kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia,mpaka kuokolewa kwake kuchomoze kama umeme,wokovu wake utokeze kama mwenge.

Kusoma sura kamili Isaya 62

Mtazamo Isaya 62:1 katika mazingira