Isaya 62:2 BHN

2 Mataifa watauona wokovu wako,wafalme wote watauona utukufu wako.Nawe utaitwa kwa jina jipya,jina atakalokupa Mwenyezi-Mungu mwenyewe.

Kusoma sura kamili Isaya 62

Mtazamo Isaya 62:2 katika mazingira