Isaya 62:10 BHN

10 Wakazi wa Yerusalemu, tokeni, tokeni nje ya mji,watayarishieni njia watu wenu wanaorejea!Jengeni! Jengeni barabara na kuondoa mawe yote!Wekeni alama kwa ajili ya watu.

Kusoma sura kamili Isaya 62

Mtazamo Isaya 62:10 katika mazingira