9 Bali nyinyi mliyoivuna nafaka hiyo,mtaila na kunitukuza mimi Mwenyezi-Mungu.Nyinyi mliochuma zabibu hizo,mtakunywa divai yake katika nyua zangu takatifu.”
Kusoma sura kamili Isaya 62
Mtazamo Isaya 62:9 katika mazingira