Isaya 62:8 BHN

8 Mwenyezi-Mungu ameapa kwa mkono wake wa kulia,naam, ameapa kwa mkono wake wenye nguvu akisema:“Sitawapa tena maadui zako nafaka yako;wala wageni hawatakunywa tena divai yakoambayo umeitolea jasho.

Kusoma sura kamili Isaya 62

Mtazamo Isaya 62:8 katika mazingira