4 Hutaitwa tena: “Aliyeachwa”,wala nchi yako haitaitwa: “Ukiwa”.Bali utaitwa: “Namfurahia,”na nchi yako itaitwa: “Aliyeolewa.”Maana Mwenyezi-Mungu amependezwa nawe,naye atakuwa kama mume wa nchi yako.
Kusoma sura kamili Isaya 62
Mtazamo Isaya 62:4 katika mazingira