Isaya 62:5 BHN

5 Maana kama kijana mwanamume amwoavyo msichana,ndivyo aliyekujenga atakavyokuwa mume wako.Kama bwana arusi afurahivyo juu ya bibi arusi,ndivyo Mungu atakavyofurahi juu yako.

Kusoma sura kamili Isaya 62

Mtazamo Isaya 62:5 katika mazingira