16 Maana wewe ndiwe Baba yetu;Abrahamu, mzee wetu, hatujali,naye Israeli hatutambui;lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ni Baba yetu.Wewe umeitwa tangu kale: “Mkombozi wetu.”
Kusoma sura kamili Isaya 63
Mtazamo Isaya 63:16 katika mazingira