17 Ee Mwenyezi-Mungu, mbona unatukosesha njia zako?Mbona unatufanya kuwa wakaidi hata tusikuogope?Rudi ee Mungu kwa ajili ya watumishi wako,makabila ambayo daima yalikuwa mali yako.
Kusoma sura kamili Isaya 63
Mtazamo Isaya 63:17 katika mazingira