Isaya 63:3 BHN

3 “Naam, nimekamua zabibu peke yangu,wala hakuna mtu aliyekuja kunisaidia.Nimeyakanyaga mataifa kwa hasira yangu,niliyapondaponda kwa ghadhabu yangu.Nguo zangu zimejaa madoa ya damu yao,imeyachafua kabisa mavazi yangu.

Kusoma sura kamili Isaya 63

Mtazamo Isaya 63:3 katika mazingira