Isaya 64:6 BHN

6 Sote tumekuwa kama watu walio najisi;matendo yetu yote mema ni kama nguo chafu.Sote tunanyauka kama majani,uovu wetu watupeperusha kama upepo.

Kusoma sura kamili Isaya 64

Mtazamo Isaya 64:6 katika mazingira