Isaya 64:7 BHN

7 Hakuna hata mmoja anayekuja kukuomba;hakuna anayejishughulisha kukutafuta.Wewe unauficha uso wako mbali nasi,umetuacha tukumbwe na maovu yetu.

Kusoma sura kamili Isaya 64

Mtazamo Isaya 64:7 katika mazingira