Isaya 65:11 BHN

11 “Lakini nitafanya nini na nyinyimnaoniacha mimi Mwenyezi-Mungu,msioujali Siyoni, mlima wangu mtakatifu,nyinyi mnaoabudu mungu ‘Gadi’,na kumtolea tambiko ya divai mungu ‘Meni’?

Kusoma sura kamili Isaya 65

Mtazamo Isaya 65:11 katika mazingira