Isaya 65:12 BHN

12 Nimewapangia kifo kwa upanga,nyote mtaangukia machinjoni!Maana, nilipowaita, hamkuniitikia;niliponena, hamkunisikiliza.Mlitenda yaliyo maovu mbele yangu,mkachagua yale nisiyoyapenda.

Kusoma sura kamili Isaya 65

Mtazamo Isaya 65:12 katika mazingira