Isaya 65:13 BHN

13 Basi, mimi Mwenyezi-Mungu nasema,watumishi wangu watakula,lakini nyinyi mtaona njaa;watumishi wangu watakunywa,lakini nyinyi mtaona kiu;watumishi wangu watafurahi,lakini nyinyi mtafedheheka.

Kusoma sura kamili Isaya 65

Mtazamo Isaya 65:13 katika mazingira