Isaya 65:14 BHN

14 Watumishi wangu wataimba kwa furaha moyoni,lakini nyinyi mtalia kwa uchungu moyonina kupiga kelele kwa uchungu mkubwa rohoni.

Kusoma sura kamili Isaya 65

Mtazamo Isaya 65:14 katika mazingira