Isaya 65:19 BHN

19 Nami nitaufurahia mji wa Yerusalemu,nitawafurahia watu wangu.Sauti ya kilio haitasikika tena,kilio cha taabu hakitakuwako.

Kusoma sura kamili Isaya 65

Mtazamo Isaya 65:19 katika mazingira