Isaya 65:20 BHN

20 Hakutakuwa tena na vifo vya watoto wachanga,wazee nao hawatakufa kabla ya wakati wao.Akifa mtu wa miaka 100 amekufa akiwa kijana;na akifa kabla ya miaka 100 ni balaa.

Kusoma sura kamili Isaya 65

Mtazamo Isaya 65:20 katika mazingira