Isaya 65:22 BHN

22 Hawatajenga nyumba zikaliwe na watu wengine,wala kulima chakula kiliwe na watu wengine.Maana watu wangu niliowachaguawataishi maisha marefu kama miti;wateule wangu watafurahia matunda ya jasho lao.

Kusoma sura kamili Isaya 65

Mtazamo Isaya 65:22 katika mazingira