Isaya 65:25 BHN

25 Mbwamwitu na kondoo watakula pamoja,simba watakula nyasi kama ng'ombe,nao nyoka chakula chao kitakuwa vumbi.Katika mlima wangu wote mtakatifu,hakuna atakayeumiza au kuharibu kitu.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Isaya 65

Mtazamo Isaya 65:25 katika mazingira