1 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Mbingu ni kiti changu cha enzi,dunia ni kiti cha kuwekea miguu yangu.Mtanijengea nyumba ya namna gani basi,Mahali nitakapoweza kupumzika?
Kusoma sura kamili Isaya 66
Mtazamo Isaya 66:1 katika mazingira