Isaya 7:13 BHN

13 Basi, Isaya akamjibu, “Sikiliza basi, enyi watu wa ukoo wa Daudi! Je, haitoshi kuwachosha watu hata sasa mnataka kumchosha Mungu wangu pia?

Kusoma sura kamili Isaya 7

Mtazamo Isaya 7:13 katika mazingira