Isaya 7:14 BHN

14 Haya basi, Bwana mwenyewe atawapa ishara: Msichana atachukua mimba, atajifungua mtoto wa kiume na kumwita jina lake Emanueli.

Kusoma sura kamili Isaya 7

Mtazamo Isaya 7:14 katika mazingira