Isaya 7:17 BHN

17 Mwenyezi-Mungu atakuletea wewe pamoja na watu wako na jamii yote ya kifalme siku za taabu kuliko zile zote zilizowahi kutokea tangu wakati watu wa Efraimu walipojitenga na Yuda; yaani, atawaleteeni mfalme wa Ashuru.”

Kusoma sura kamili Isaya 7

Mtazamo Isaya 7:17 katika mazingira