Isaya 7:18 BHN

18 Wakati huo, Mwenyezi-Mungu atawapigia mruzi watu wa Misri waje kama nzi toka vijito vya mto Nili; na watu wa Ashuru waje kama nyuki kutoka nchi yao.

Kusoma sura kamili Isaya 7

Mtazamo Isaya 7:18 katika mazingira