Isaya 7:19 BHN

19 Watakuja makundi kwa makundi na kuyajaza mabonde yaliyopasukapasuka, mapango miambani, miiba, vichaka vyote na malisho yote.

Kusoma sura kamili Isaya 7

Mtazamo Isaya 7:19 katika mazingira