Isaya 7:20 BHN

20 Wakati huo, Bwana atakopa wembe kutoka ngambo ya mto Eufrate, yaani mfalme wa Ashuru. Atawanyoa vichwa vyenu, miili yenu na kukatilia mbali pia ndevu zenu.

Kusoma sura kamili Isaya 7

Mtazamo Isaya 7:20 katika mazingira