Isaya 8:18 BHN

18 Mimi pamoja na watoto alionipa Mwenyezi-Mungu ni ishara na alama katika Israeli kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa majeshi akaaye mlimani Siyoni.

Kusoma sura kamili Isaya 8

Mtazamo Isaya 8:18 katika mazingira