Isaya 8:19 BHN

19 Baadhi watawaambieni: “Nendeni mkatake shauri kwa mizimu na mizuka iliayo kama ndege; kwani ni kawaida watu kutaka shauri kwa miungu yao, na kutaka shauri kwa wafu kwa ajili ya walio hai.”

Kusoma sura kamili Isaya 8

Mtazamo Isaya 8:19 katika mazingira