Isaya 8:3 BHN

3 Nililala na mke wangu ambaye pia ni nabii, akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Mpe mtoto huyo jina ‘Teka-haraka-pokonya-upesi.’

Kusoma sura kamili Isaya 8

Mtazamo Isaya 8:3 katika mazingira