Isaya 8:4 BHN

4 Maana kabla mtoto huyu hajafikia umri wa kuweza kutamka: ‘Baba’ au ‘Mama,’ utajiri wa Damasko na nyara walizoteka huko Samaria zitapelekwa kwa mfalme wa Ashuru.”

Kusoma sura kamili Isaya 8

Mtazamo Isaya 8:4 katika mazingira