23 Viongozi wako ni waasi;wanashirikiana na wezi.Kila mmoja anapenda hongo,na kukimbilia zawadi.Hawawatetei yatima,haki za wajane si kitu kwao.
Kusoma sura kamili Isaya 1
Mtazamo Isaya 1:23 katika mazingira