24 Kwa hiyo asema Bwana Mwenyezi-Mungu,Mwenye Nguvu wa Israeli:“Nitawamwagia maadui zangu hasira yangu,nitawalipiza kisasi wapinzani wangu.
Kusoma sura kamili Isaya 1
Mtazamo Isaya 1:24 katika mazingira