Isaya 49:25 BHN

25 Mwenyezi-Mungu ajibu:“Naam! Hata nyara za shujaa zitachukuliwa,mateka wa mtu katili wataokolewa.Mimi mwenyewe nitawakabili maadui zako,mimi mwenyewe nitawaokoa watoto wako.

Kusoma sura kamili Isaya 49

Mtazamo Isaya 49:25 katika mazingira