Zaburi 10:14 BHN

14 Lakini wewe wawaona wenye dhiki na shida;nawe daima uko tayari kuwasaidia.Mnyonge anakutegemea wewe, ee Mungu,wewe umekuwa daima msaada wa yatima.

Kusoma sura kamili Zaburi 10

Mtazamo Zaburi 10:14 katika mazingira